Ufafanuzi msingi wa jarari katika Kiswahili

: jarari1jarari2

jarari1

nominoPlural jarari

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kamba ya kutwekea tanga.

Matamshi

jarari

/ʄarari/

Ufafanuzi msingi wa jarari katika Kiswahili

: jarari1jarari2

jarari2

nominoPlural jarari

  • 1

    mtoto wa meza.

    almari, dawati

Asili

Kar

Matamshi

jarari

/ʄarari/