Ufafanuzi wa jaribio katika Kiswahili

jaribio

nominoPlural majaribio

 • 1

  zoezi la kupima ufahamu wa wanafunzi.

  zoezi

 • 2

  tendo la kujizoeza ili kuona kama jambo litafaulu au litafaa.

 • 3

  tendo la kushawishi.

Asili

Kar

Matamshi

jaribio

/ʄaribijɔ/