Ufafanuzi wa jaribu katika Kiswahili

jaribu

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanya jitihada ya kufanya jambo ambalo uwezo wa kulifanyia huna hakika nao.

    geza

Asili

Kar

Matamshi

jaribu

/ʄaribu/