Ufafanuzi wa jasi katika Kiswahili

jasi

nominoPlural jasi

  • 1

    jiwe laini la chokaa linalotumiwa kutengeneza saruji.

  • 2

    kipambo cha wanawake cha kuvaa masikioni.

Asili

Kar

Matamshi

jasi

/ʄasi/