Ufafanuzi msingi wa jasiri katika Kiswahili

: jasiri1jasiri2jasiri3

jasiri1

kivumishi

 • 1

  -siyo hofu.

  ‘Mtu jasiri’
  hodari

Matamshi

jasiri

/ʄasiri/

Ufafanuzi msingi wa jasiri katika Kiswahili

: jasiri1jasiri2jasiri3

jasiri2

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  piga moyo konde; kuwa hodari; kuwa shujaa.

  ‘Alijasiri akapigana nao peke yake’
  jusuru, thubutu, diriki

Asili

Kar

Matamshi

jasiri

/ʄasiri/

Ufafanuzi msingi wa jasiri katika Kiswahili

: jasiri1jasiri2jasiri3

jasiri3

nomino

Matamshi

jasiri

/ʄasiri/