Ufafanuzi wa jawabu katika Kiswahili

jawabu

nomino

  • 1

    maelezo yanayotolewa baada ya kuulizwa swali.

    ‘Jawabu la hesabu’
    ‘Bado sijapata jawabu la barua niliyompelekea’
    jibu, itiko

Asili

Kar

Matamshi

jawabu

/Ę„awabu/