Ufafanuzi wa jazana katika Kiswahili

jazana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa pamoja kwa wingi.

    ‘Watu wamejazana chumbani’

Asili

Kar

Matamshi

jazana

/ʄazana/