Ufafanuzi wa jazanda katika Kiswahili

jazanda

nominoPlural jazanda

  • 1

    picha inayomwingia mtu kichwani.

    taswira

Matamshi

jazanda

/ʄazanda/