Ufafanuzi wa jazibika katika Kiswahili

jazibika, jadhibika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    shikwa na jazba.

Asili

Kar

Matamshi

jazibika

/ʄazibika/