Ufafanuzi wa jazua katika Kiswahili

jazua

nominoPlural jazua

  • 1

    zawadi inayotolewa na bwana harusi kumpa bibi harusi amwonapo yu bikira.

    kipamkono, kipakasa, ukonavi

Asili

Kar

Matamshi

jazua

/ʄazuwa/