Ufafanuzi wa jebu katika Kiswahili

jebu

nominoPlural majebu

  • 1

    pambo la fedha au dhahabu linalovaliwa na wanawake, huning’inizwa kidevuni.

Asili

Khi

Matamshi

jebu

/ʄɛbu/