Ufafanuzi wa jela katika Kiswahili

jela

nominoPlural jela

  • 1

    pahali wanapowekwa wahalifu wa sheria kuadhibiwa ili wajirekebishe.

    gereza, husuni

Asili

Kng

Matamshi

jela

/ʄɛla/