Ufafanuzi wa jelebi katika Kiswahili

jelebi

nominoPlural jelebi

  • 1

    andazi la duara linalotengenezwa kwa unga wa ngano na sukari kisha kuchovywa kwenye shira.

Matamshi

jelebi

/ʄɛlɛbi/