Ufafanuzi wa jemu katika Kiswahili

jemu

nomino

  • 1

    urojorojo unaotengenezwa kwa matunda fulani yaliyochemshwa pamoja na sukari na ambao agh. hupakwa mkate wa boflo.

Asili

Kng

Matamshi

jemu

/ʄɛmu/