Ufafanuzi wa jenereta katika Kiswahili

jenereta

nominoPlural jenereta

  • 1

    mtambo utoao nguvu za umeme.

    ‘Jenereta ya umeme’

Asili

Kng

Matamshi

jenereta

/ʄɛnɛrɛta/