Ufafanuzi wa jengelele katika Kiswahili

jengelele

nomino

  • 1

    utumbo mdogo.

    chango, ujengelele

  • 2

    dhakari, firaka, mboo, uume

Matamshi

jengelele

/ʄɛngɛlɛlɛ/