Ufafanuzi wa jeruhi katika Kiswahili

jeruhi

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tia jeraha.

    umiza, athiri

Asili

Kar

Matamshi

jeruhi

/ʄɛruhi/