Ufafanuzi msingi wa jeta katika Kiswahili

: jeta1jeta2

jeta1

nominoPlural majeta

 • 1

  koa wa bahari anayeishi kwenye miamba.

 • 2

  mtu mvivu apendaye kuwatuma wenzake wamletee vitu ijapokuwa viko karibu naye.

  ‘Umekuwa jeta , hubanduki’

Matamshi

jeta

/ʄɛta/

Ufafanuzi msingi wa jeta katika Kiswahili

: jeta1jeta2

jeta2

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  tumainia kupata kitu kutoka kwa mtu anayeweza kukusaidia.

  tegemea

 • 2

  fanya maringo kwa kitu ulichonacho.

  jivuna

Matamshi

jeta

/ʄɛta/