Ufafanuzi wa jeuri katika Kiswahili

jeuri

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kutojali au kukosa kutii; -enye kiburi.

    korofi, kaini, kasidi

Asili

Kar

Matamshi

jeuri

/ʄɛwuri/