Ufafanuzi wa jiamini katika Kiswahili

jiamini

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na imani ya kuweza kufanya jambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

jiamini

/Ę„ijamini/