Ufafanuzi wa jibanza katika Kiswahili

jibanza

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    kaa mahali kwa shida kwa kukosa nafasi ya kutosha.

    ‘Vijana huhamia mjini na kujibanza kwa ndugu zao’

  • 2

    kaa mahali palipositirika ili usionekane.

Matamshi

jibanza

/ʄibanza/