Ufafanuzi wa jibini katika Kiswahili

jibini

nomino

  • 1

    chakula kinachotengenezwa kwa kugandisha maziwa yaliyotolewa maji.

    chizi

Asili

Kar

Matamshi

jibini

/Ę„ibini/