Ufafanuzi msingi wa jibu katika Kiswahili

: jibu1jibu2

jibu1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iza, ~iwa

 • 1

  itikia kwa maneno, maandishi au kwa ishara.

 • 2

  giniza

Asili

Kar

Matamshi

jibu

/ʄibu/

Ufafanuzi msingi wa jibu katika Kiswahili

: jibu1jibu2

jibu2

nominoPlural mabu

 • 1

  neno la kuitikia au kujibia.

  ‘Toa jibu’
  jawabu, itiko

Asili

Kar

Matamshi

jibu

/ʄibu/