Ufafanuzi msingi wa jifu katika Kiswahili

: jifu1jifu2

jifu1

nomino

 • 1

  kiumbe aliyekufa.

  maiti, kimba, mfu, kaputi

 • 2

  kitu kisicho madhubuti.

 • 3

  nyama ya ndani ya tumbo la mnyama anayecheua inayofanana na taulo au kurasa za kitabu.

Matamshi

jifu

/ʄifu/

Ufafanuzi msingi wa jifu katika Kiswahili

: jifu1jifu2

jifu2

nomino

nomino