Ufafanuzi wa jifungua katika Kiswahili

jifungua

kitenzi sielekezi~lia

  • 1

    (kwa binadamu tu) zaa mtoto.

Matamshi

jifungua

/ʄifunguwa/