Ufafanuzi msingi wa jike katika Kiswahili

: jike1jike2

jike1

nomino

  • 1

    mnyama wa jinsia ya kike.

    ‘Ng’ombe jike’

  • 2

    mwanamume mwoga.

    chuchu

Matamshi

jike

/ʄikɛ/

Ufafanuzi msingi wa jike katika Kiswahili

: jike1jike2

jike2

nomino

Matamshi

jike

/ʄikɛ/