Ufafanuzi wa jiko katika Kiswahili

jiko

nominoPlural mako

  • 1

    mahali pa kupikia.

  • 2

    kifaa kinachotoa nishati ya kupikia.

Matamshi

jiko

/ʄikɔ/