Ufafanuzi wa jikosha katika Kiswahili

jikosha

kitenzi sielekezi

  • 1

    jaribu kujitoa lawamani kwa kosa ulilolifanya.

Matamshi

jikosha

/ʄikɔ∫a/