Ufafanuzi wa jikusuru katika Kiswahili

jikusuru

kitenzi sielekezi

  • 1

    tia bidii na nia katika kufanya jambo.

Asili

Kar

Matamshi

jikusuru

/Ę„ikusuru/