Ufafanuzi wa jikwatua katika Kiswahili

jikwatua

kitenzi sielekezi

  • 1

    jiremba kwa manukato na marashi.

Matamshi

jikwatua

/ʄikwatuwa/