Ufafanuzi wa jilia katika Kiswahili

jilia

kitenzi elekezi

  • 1

    kula bila kujali au kuchagua.

Matamshi

jilia

/ʄilija/