Ufafanuzi msingi wa jimbo katika Kiswahili

: jimbo1jimbo2

jimbo1

nominoPlural mambo

 • 1

  sehemu ya nchi iliyo kubwa kuliko wilaya ambayo mkuu wake huteuliwa na kiongozi wa nchi.

  mkoa

 • 2

  wilaya au sehemu ya wilaya yenye mbunge wa kuwawakilisha watu wa eneo hilo bungeni.

 • 3

  dayosisi

 • 4

  gatuzi, kaunti

Matamshi

jimbo

/ʄimbɔ/

Ufafanuzi msingi wa jimbo katika Kiswahili

: jimbo1jimbo2

jimbo2

nominoPlural mambo

 • 1

  dawa ya mitishamba ya kuwaogeshea watoto wachanga ili wapate afya njema.

Matamshi

jimbo

/ʄimbɔ/