Ufafanuzi wa jinamizi katika Kiswahili

jinamizi

nominoPlural manamizi

  • 1

    ndoto ya kutisha inayomfanya mtu ahisi au afanye lolote kwa sababu ya hofu.

Asili

Kar

Matamshi

jinamizi

/ʄinamizi/