Ufafanuzi wa jiofizikia katika Kiswahili

jiofizikia

nominoPlural jiofizikia

  • 1

    uchunguzi wa kisayansi wa fizikia ya dunia k.v. nguvu za sumaku na hali ya hewa.

Asili

Kng

Matamshi

jiofizikia

/ʄijɔfizikija/