Ufafanuzi wa jiolojia katika Kiswahili

jiolojia

nominoPlural jiolojia

  • 1

    taaluma ya kisayansi kuhusu gamba la ardhi, miamba, n.k. pamoja na historia ya kuumbika kwake.

Asili

Kng

Matamshi

jiolojia

/ʄijɔlɔʄija/