Ufafanuzi wa jiona katika Kiswahili

jiona

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na majivuno.

    jiona, ringa, takabari, jibodoa