Ufafanuzi wa jipu katika Kiswahili

jipu

nominoPlural mapu

  • 1

    uvimbe mkubwa unaotunga usaha.

    ‘Jipu limeiva’
    ‘Jipu limetumbuka’

Matamshi

jipu

/ʄipu/