Ufafanuzi msingi wa jirani katika Kiswahili

: jirani1jirani2

jirani1

nominoPlural marani

  • 1

    mtu aliye karibu na mahali unapoishi.

Asili

Kar

Matamshi

jirani

/ʄirani/

Ufafanuzi msingi wa jirani katika Kiswahili

: jirani1jirani2

jirani2

kielezi

  • 1

    karibu ya.

Matamshi

jirani

/ʄirani/