Ufafanuzi wa jiri katika Kiswahili

jiri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    ‘Mambo yaliyojiri katika warsha ya kamusi iliyofanyika Kibaha ni haya’

Asili

Kar

Matamshi

jiri

/ʄiri/