Ufafanuzi wa jiriwa katika Kiswahili

jiriwa

nominoPlural jiriwa

  • 1

    kibanio cha chuma au mbao ambacho hushikilia vitu kwa imara wakati vinapofanyiwa kazi.

  • 2

    ‘Ameingia katika jiriwa’
    mtego

Matamshi

jiriwa

/ʄiriwa/