Ufafanuzi wa jisa katika Kiswahili

jisa

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    zungumza, hasa saa za usiku.

  • 2

    endelea kuzungumza baada ya wakati wa kulala.

  • 3

    zungumza na mtu ili kumwondoa mawazo.

Matamshi

jisa

/ʄisa/