Ufafanuzi wa jisikia katika Kiswahili

jisikia

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa katika hali fulani.

    ‘Mtoto anajisikia vibaya’

  • 2

    jiona bora kuliko -ingine.

    shana

Matamshi

jisikia

/ʄisikija/