Ufafanuzi wa jitenga katika Kiswahili

jitenga

kitenzi sielekezi~ea, ~esha

  • 1

    kaa kando.

    jibari, jitanibu, baidika, jibaidisha

Matamshi

jitenga

/ʄitɛnga/