Ufafanuzi wa jitia katika Kiswahili

jitia

kitenzi sielekezi

  • 1

    jiingiza.

    jidukiza, ingilia

  • 2

    jidai

Matamshi

jitia

/ʄitija/