Ufafanuzi wa jitukusa katika Kiswahili

jitukusa

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

  • 1

    chezesha mwili.

Matamshi

jitukusa

/ʄitukusa/