Ufafanuzi wa jitwaza katika Kiswahili

jitwaza

kitenzi sielekezi

  • 1

    jiona bora kuliko watu wengine.

    jinata

Matamshi

jitwaza

/Ę„itwaza/