Ufafanuzi wa jivunia katika Kiswahili

jivunia

kitenzi elekezi

  • 1

    ona fahari kwa mafanikio yaliyopatikana; ringia.

Matamshi

jivunia

/Ę„ivunija/