Ufafanuzi wa jiwe katika Kiswahili

jiwe

nominoPlural mawe

 • 1

  kipande cha mwamba kilicho kigumu sana.

  ‘Nyumba ya mawe’
  jabali

 • 2

  kipimo cha uzito kinachowekwa katika mizani kupimia uzito wa kitu.

 • 3

  betri ya tochi au kibiriti.

Matamshi

jiwe

/ʄiwɛ/