Ufafanuzi wa jizia katika Kiswahili

jizia

nominoPlural jizia

Kidini
  • 1

    Kidini
    kodi au malipo maalumu yanayolipwa na wasiokuwa Waislamu katika utawala wa Kiislamu ili kulipia usalama wao na haki wanazopewa.

Asili

Kar

Matamshi

jizia

/ʄizija/