Ufafanuzi wa jodari katika Kiswahili

jodari

nominoPlural jodari

  • 1

    samaki wa baharini mwenye umbo la mviringo na nyama yake huwa ya rangi ya hudhurungi.

Matamshi

jodari

/ʄɔdari/